Mwanamuziki Nandy Apewa Milioni 106 za Kuanzia Maisha

 


The African Princess Nandy amefanyiwa surprise ya kupewa hundi ya benki yenye thamani ya Tsh Milioni 106 kama kianzio cha maisha yake mapya ya ndoa na mume wake mtarajiwa Billnass.


Tukio hilo limefanyika kwenye Send Off Party yake jana usiku ikiwa imeuhudhuriwa na mastaa na wageni wengine waalikwa.


Billnass na Nandy watafunga ndoa siku ya kesho Jumamosi pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza siku zijazo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad