Mwijaku aiponda Show ya @diamondplatnumz Ureno ya AFRONATION huku akilinganisha na show ya @burnaboygram akisema amezidiwa vitu vingi sana.
@mwijaku ameenda mbali akisema kama tunataka wasanii wetu wafanikiwe basi waambiwe ukweli
“Huwezi kuwa best performer kwa kuwapigia watu kelele na kuruka sarakasi, imba watu wanahitaji uimbe “
Akiiweka show ya @burnaboygram na kujaribu kukosea baadhi ya vitu.
Wewe u a maono gani kuhusu kauli ya @mwijaku baada ya mwanzo kuonekana kuisifia show ile??