Mwijaku aibuka kumtungua Nandy
"Tuhoji-Swali je kwa nini Nandy abebe mimba kabla ya ndoa ? Je malezi ya wazazi yalikua na changamoto ? Au tamaa ya kulazimisha ndoa ujanani ?
Alafu kila mtu anampa pongezi Nandy na Bilnasi kama kwamba walicho kifanya ni sahihi .
Tunakosea sana ...! Walioko kwenye ndoa ndio wanapaswa kupongezwa na si hivi. Tunaharibu vizazi vyetu .
Mimi kwangu nitakwambia kua Nandy amewadhalilisha wazazi wake kwenye hili . Na ajue kua ameingia kwenye mifano ya wanawake watakao tolewa mifano mibaya ya ujana wakee.
VIONGOZI WA DINI MKO WAPI ? HAYA NDIO MAFUNDISHO YA KONDOO WA BWANA ? TUJITATHIMINI WAZAZI . TUSIIGE KILA UJINGA.
ALAFU BORA UNGEFANYA SIRI SIO UNATANGAZA KABISA HADHARANI NA UNAMSHUKURU MUNGU KWELI ? KWA TENDO HILI .
HUKUPASWA KUPOST HUKUPASWAAAA"