Mwijaku Sio Mtu Mzuri Awakosoa Vibaya Nandy na Bilnass " Nandy Amewadhalilisha Wazazi Wake Kwenye Hili"


Mwijaku aibuka kumtungua Nandy

"Tuhoji-Swali je kwa nini Nandy abebe mimba kabla ya ndoa ? Je malezi ya wazazi yalikua na changamoto ? Au tamaa ya kulazimisha ndoa ujanani ?

Alafu kila mtu anampa pongezi Nandy na Bilnasi kama kwamba walicho kifanya ni sahihi .

Tunakosea sana ...! Walioko kwenye ndoa ndio wanapaswa kupongezwa na si hivi. Tunaharibu vizazi vyetu .

Mimi kwangu nitakwambia kua Nandy amewadhalilisha wazazi wake kwenye hili . Na ajue kua ameingia kwenye mifano ya wanawake watakao tolewa mifano mibaya ya ujana wakee.

VIONGOZI WA DINI MKO WAPI ? HAYA NDIO MAFUNDISHO YA KONDOO WA BWANA ? TUJITATHIMINI WAZAZI . TUSIIGE KILA UJINGA.


ALAFU BORA UNGEFANYA SIRI SIO UNATANGAZA KABISA HADHARANI NA UNAMSHUKURU MUNGU KWELI ? KWA TENDO HILI .


HUKUPASWA KUPOST HUKUPASWAAAA"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad