Mwijaku: Wengi wanaamini Nandy ana hela kuliko Bilnass ni uongo



 

“Mwanaume anabaki kuwa Mwanaume kwenye kila jambo, nimebahatika kuangalia akaunti zao za fedha” “Wengi wanamaini @officialnandy ana hela kuliko @billnass lakini hapana, Nenga ana hela sana”

“Wote tunayajua maisha ya Bilnass alipoanzia hata Nandy alianzia kwenye maisha, nilipoona akaunti zao za fedha nilipagawa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad