Pata Viti vya Kisasa vya Meza ya kulia Chakula Wazungu Wanaviita Sofa Dining Chairs


Pata Viti vya Kisasa vya Meza ya kulia Chakula Wazungu Wanaviita Sofa Dining Chairs , Unaweza Jikuta Umesinzia ukiwa unakula Jinsi vilivyo Confortable 

Kila Kitu ni Shilingi  200,000 tu

Unaweza Kutoa order Idadi yoyote Unayotaka kulingana na Meza Yako

Tunatengeneza wenyewe Katika workshop Yetu 

Piga Simu Namba 0712304974

Tupo Bunju B Mwisho na Mapinga Bagamoyo






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad