PICHA: Yanga yatambulisha kiungo mpya Gael Bigirimana



Club ya Yanga ikiwa katika Uchaguzi Mkuu leo kupitia kwa Rais wao Injinia Hersi Said wamemtambulisha rasmi Gael Bigirimana (28) kama mchezaji wao.


Bigirimana ni Raia wa Burundi na Uingereza ila anacheza Timu ua Taifa ya Burundi ila soka la vijana U-20 alicheza timu ya Taifa ya England.


Gael Bigirimana amewahi kucheza vilabu kadhaa England ikiwemo Coventry City 2011-2012 na Newcastle United 2012-2016.



 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad