Ceo Madira Pambe, mwigizaji @shamsaford alikuwa na haya machache kwa mashabiki wake akihoji mtu anapofanikiwa kimaisha watu wanaohoji kuwa amefanyaje fanyaje ila akiwa fukara watu hawaulizi.
“Ukiwa masikini hawakuulizi chanzo chake ila ukiwa tajiri wanataka kujua chanzo cha utajiri wako. Hao ndo binadamu😂🤦. Siku nikiwa tajiri inshaaallah wataanza kuzusha zusha ilimradi tu wajue chanzo chake,” - Shamsa Ford.
Una mtazamo gani 🤔