Simba SC yamtambulisha Victor Akpan




Club ya Simba SC imeendelea kutangaza usajili wa wachezaji wake wapya na leo imemtambulisha rasmi kiungo Victor Akpan Raia wa Nigeria aliyekuwa anaichezea Coastal Union ya Tanga sasa ni mnyama.

Simba SC imemsajili king huyo kwa mkataba wa miaka miwili, hiyo ni baada ya kuvutiwa na uwezo wake mkubwa aliounesha akiwa anaitumikia Coastal Union ya Tanga.

Huu unakuwa usajili wa pili wa Simba SC kufanywa baada ya jana kutangaza kumsajili Habib Kiyombo kutokea Mbeya Kwanza iliyoshuka daraja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad