TMA Watoa Ufafanuzi Kuhusu Barafu Inayondondoka Njombe "Ile Sio Theluji"

 


Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa 'Sakitu' ambapo hiyo ni hali ya kuganda kwa umande katika eneo la uso wa ardhi kwa muonekanao inakuwa kama Theluji (Snow) iliyonguka


Meneja TMA, Samwel Mbuya amesema "Tumeangalia kitaalamu na kugundua kinachotokea ni Sakitu au 'Frosty' hiyo inatokana na baridi kuwa kali


Amesema "Kwa kuwa pia kuna upepo wa Kusi hiyo inasababisha maeneo mengine ya Kaskazini na Pwani ya Tanzania kuwa na ongezeka la baridi kutokana na upepo huo"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad