Uchebe afunguka Rayvanny kulipa pesa atoke WCB



Fundi magari na mwanafamilia wa lebo ya WCB Uchebe amejibu madai ya taarifa inayosemekana Rayvanny amelipa Tsh Milioni 800 ili atoke lebo ya WCB.


Uchebe amesema Diamond Platnumz anawekeza pesa nyingi ili msanii wa lebo yake kuwa mkubwa hivyo hawezi kutoka kirahisi lazima alipe kwa kile alichofanyiwa. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad