Watu Saba Wanasadikiwa Kufariki Ajali ya Lori na Gari ya Kubeba Abiria Mbeya


Watu saba wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori lenye namba za usajili T 317 DWL na tela lenye namba za usajili T 804 BMF kukosa breki na kugonga gari dogo la abiria katika eneo la Inyala nje kidogo ya jiji la Mbeya.


Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad