Wema Sepetu Aeleza Alivyokerwa na Lulu DIVA, Mange Kimambi Ndani



Baada ya hivi karibuni msanii wa Bongo Flava na maigizo nchini, @luludivatz kukutana na maswahibu, Tanzania sweetheart @wemasepetu ambaye ni rafiki wa karibu wa msanii huyo, amefunguka hali ya rafiki yake hivi sasa.


Kwenye waves za Empire ya EFM hii leo July 13, Wema amefunguka kuwa ukiwa kwenye spotlight lolote linaweza tokea na muda wowote, kuna ambayo yatakuvunja moyo na kukukatisha tamaa, lakini inabidi tu uwe jasiri na maisha mengine yaendelee, hivyo kuhusiana na hali ya Lulu Diva kwa hivi sasa anaendelea vizuri, japo binafsi kama Wema alikerwa na Lulu Diva kwa kitendo cha kujaribu kunywa sumu baada ya tukio lililo mpata, na yote hii ni kwa sababu ya mtu mmoja tu ambaye ni @mangekimambi_


Wema amedai Mange ni mtu hasiye fikiria matokeo ya jambo fulani baada ya kuliweka public, ni mtu hasiye na utu na mwenye roho ya kinyama, lakini kikubwa Mungu mkubwa, Diva anaendelea vizuri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad