Yanga "Tunaenda Kuweka Historia Kuleta Mchezaji wa Ligi Kuu ya Uingereza Kucheza Tanzania"
0
July 07, 2022
Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza TZ. Tunaleta vyuma vitatu na watu hawataamini.