Baada ya Sadio Mane Kufunga BAO Kwa Mkono na Kumwambia Refa Ukweli...Kilichofuata ni Mungu Anatenda Maajabu


Kwenye mchezo wa weekend iliyopita, Sadio Mane alifunga bao kwa mkono wake lakini akawahi na kumwambia Refa kuwa amefunga kwa mkono kabla hata Refa hajaenda kwenye VAR na bao likakataliwa baada ya marejeo.

Dakika 1:20 baadae akafunga bao halali na Refa akawaita wapinzani kati.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad