Baada ya Taifa Stars Bundi Alia Tena Azam FC, Waachana na Kocha Wao Mkuu Pamoja na Msaidizi wake



Club ya Azam FC imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu Abdihamid Moallin pamoja na Msaidizi wake Omar Nasser na sasa Timu itakuwa chini ya Kocha wa Makipa Daniel Cadena mwenye leseni ya UEFA Pro.


Hata hivyo Azam FC imetangaza kuwa Moallin na Omar hawataondoka Azam FC badala yake watapangiwa kazi nyingine, Azam FC hadi sasa msimu huu imecheza mechi 2, imeshinda moja na sare 1.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad