Diamond Platnumz Anatajwa Kulipwa TSh. Milioni 233 Kutumbuiza Kwenye Mkutano wa Raila Odinga kwa dakika 10 tu


Mitandao ya nchini Kenya inaripoti kwamba Diamond Platnumz alilipwa (KSh 1.2 million) zaidi ya TSh. Milioni 23 kutumbuiza kwa kila Dakika Moja katika uwanja wa Kasarani kwenye hafla ya mwisho ya kampeni za chama cha Azimio la Umoja wikendi iliyopita.

Diamond Platnumz anatajwa kulipwa kiasi cha (KSh 11.9 million) zaidi ya TSh. Milioni 233 kutumbuiza kwenye hafla hiyo kwa dakika 10 tu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad