Haji Manara Afunguka "Haki Nishawahi Kuua Watu Milioni Kumi Kwa Mikono Yangu Kule Iraq Unganeni Makolo Wote na Wanaharakati Wenu Wote"



Kaandika Haji Manara :

"Unstoppable 🤪🤪

Mwamba huyu hapa,,

Kum Guh Khxg Chen Ki Badash 🦾

Jasusi,Gaidi na kubwa la Maadui, ni Wily Gamba wa Kwenye Kisasi cha haki.nishawahi kuua Watu Milioni kumi Kwa mikono yangu kule Iraq kwenye Gulf War,

Unganikeni wote Makolo,na Wanaharakati wenu mnaowalipa laki laki,,hii ngoma nyingine.,Msijaribu

Wakati nipo China sikujifunza Siasa tu,,nilichukua mafunzo ya Juu ya Kung fu,Taikwondo,Karate na Judo,,huku Trainer wangu akiwa ni Bolo Yang,,ambae nishawahi kumpasua kidari ktk mazoezi,,

Sasa Ole wenu mnisogolee kama sijawakamua Utumbo,Bumbaavu"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad