Harmonize Anaongoza Kupendwa na Wasanii Wakubwa wa Nigeria..Burna Boy Humwambii Kitu


Harmonize Amewahi kuzungumza sana kuhusu uhusiano wake na Burna Boy, jamaa anaelewana sana na Burna Boy.

Recommended:

Download Your National ID (NIDA) Here | Pata Namba ya Kitambulisho Chako Cha Taifa Hapa

Sio kuelewana tu, hata Burna Boy anamkubali sana Harmonize. Sio Harmonize tu hata Jabulant anapendwa sana na Burna Boy.


Anachana na Burna, Skales pia ni mshikaji sana wa Harmonize, Kumbukeni kwamba Walisaini Deal na Konde Gang, ikawa Management ya Skales katika upande wa East Africa. Deal lao mpaka leo halijulikani linaendelea vipi, lakini mara nyingi Skales akiachia ngoma, Harmonize huwa anazi-push sana.

Recommended:

Job Application Letters, Job Tips, How to Write a Good CV, Interview Questions and It’s Best Answers plus Examples. Click Here

Achana na Skales, Hata Comedian @brodashaggi kila siku ana-comment kwenye Post za Harmonize, hii inaonesha ni jinsi gani anamkubali mwamba.


Pia huyu mzee wa Buga (Kizz Daniel) anajuana sana na Harmonize, ndio maana hata alivyopelekwa Lock Up, Harmonize ndio alikuwa wa kwanza kufika pale kumbeba.


Je unahisi ni nini siri ya urafiki huu na wasanii wa Nigeria? Unahisi kwanini wasanii wa nigeria wanamkubali sana Harmonize? Maana Burna Boy haziivi na Diamond ila Zinaiva sana na Harmonize. KWANINI?

Read Also : More Than 500+ Tanzania Government Jobs Available Today Click Here 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad