Hasara Jezi za Simba...Fred Vunja Bei Afunguka


Mtengenezaji Mkuu na Msambazaji wa Jezi za Klabu ya @simbasctanzania @fred_vunjabei Amesema kutokana na Mabadiliko ya Mdhamini Mpya wa Klabu hiyo kumefanya Apate Hasara ya Dola 150,000 (Zaidi ya Tsh. Milioni 349) Kwani Alikuwa Tayari Ameshaanza kudizaini Jezi zenye logo ya Mdhamini wa Awali.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad