Irene Uwoya Katulia Kama si Yeye Aliyepigwa na Kitu Kizito Kichwani na Mange Kimambi


Staa wa bongo movie @ireneuwoya8 katulia kama sio yeye aliyepigwa na kitu kizito kichwani na dada wa Instagram @mangekimambi_ kumbe ni YEYE
Yaliyomkuta @luludivatz yana unafuu lakini Kidogo
ajiue, ila huyu Uwoya limemkuta jambo zito lakini haoneshi
kuteteleka hata kidogo, Aisee Huyu Dada nimempigia Salute,
Anajua Anajua Anajua Tena.
Uwoya bado anaendelea kupost Instagram, pia anajibu
Comment za watu mbalimbali, aisee huyu Dada ni hatari.

Unahisi kwanini Irene Uwoya ana roho kama ya Paka, sio
mwepesi kuteteleka?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad