Irene Uwoya Katulia Kama si Yeye Aliyepigwa na Kitu Kizito Kichwani na Mange Kimambi



Staa wa bongo movie Irene Uwoya katulia kama sio yeye aliyepigwa na kitu kizito kichwani na dada wa Instagram @mangekimambi_ kumbe ni YEYE
Yaliyomkuta @luludivatz yana unafuu lakini Kidogo

ajiue, ila huyu Uwoya limemkuta jambo zito lakini haoneshi

kuteteleka hata kidogo, Aisee Huyu Dada nimempigia Salute,

Anajua Anajua Anajua Tena.

Uwoya bado anaendelea kupost Instagram, pia anajibu


Comment za watu mbalimbali, aisee huyu Dada ni hatari.

Unahisi kwanini Irene Uwoya ana roho kama ya Paka, sio

mwepesi kuteteleka?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad