"Hamna kitu sipendi kama mtu anambie utaona …ntaona nin ambacho sijawahi ona MUNGU kaniumba na macho mawili yanaona vzuri sanaaa …wewe Nani?nakwambia ushindwe kwa jina la YESU …ujumbe umefika na nimekujibu sina jipya la kuona 😏😏😏" - Uwoya
Irene Uwoya Kimempata Nini...Afunguka Haya "Ushindwe Kwa Jina la Yesu"
0
August 03, 2022
Tags