Jeshi la Polisi Linawashikilia Watu 13 kwa Tuhuma za Kumzika Mtu Akiwa hai


RUVUMA: Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 13 kwa tuhuma za kumzika akiwa hai, Mzee Frolence Komba (78) katika makaburi ya shamba la Mungu yaliyopo Kijiji cha Mahanje

Chanzo ni tuhuma za kumuhusisha Mzee huyo kumuua Mtoto wake, Severine Komba (34) kwa imani za kishirikina. Baadhi Wanafamilia ikiwemo Watoto wa Mzee wamehusika kwenye tukio hilo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad