Karani Aliyetoweka na Laki Sita za Sensa Akamatwa Baada ya Kutaka Kutapeli Tena Malipo ya Awamu ya Pili


Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa.


Mtuhumiwa baada ya kulipwa Tsh. 600,000 kama malipo ya awali alitoweka lakini August 21, 2022 baada ya kusikia malipo ya awamu ya pili yanatolewa alirudi tena kwa ajili ya kusaini fedha hizo na ndipo akakamatwa na sasa anaendelea kuhojiwa ambapo upelelezi ukikamilika hatua nyingine za kisheria zitafuata

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad