Karani wa Sensa Aliyeibiwa Kishkwambi na Wahuni Arusha Apewa Kitendea Kazi Kingine



Mratibu wa sensa Wilaya ya Arusha Maneno Maziku amesema Karani wa sensa aliyeibiwa kishkwambi katika eneo la Unga Limited maarufu "Ngalimi" Arusha ameshapatiwa kishkwambi kipya na amerejea kazini leo kuendelea na kazi kama kawaida.


Karani huyo alivamiwa jana na Watu wasiojulikana wakiwa kwenye Pikipiki huko la Unga Limited na kumpora kishikwambi kilichokuwa kwenye begi wakati akijiandaa kufanya mahojiano katika kaya maalumu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad