Kimenuka..Msanii Kizz Daniel Akamatwa na Polisi Kisa Kugoma Kufanya Onesho Jana


Staa wa muziki kutoka Nigeria @kizzdaniel amekamatwa na Polisi nchini Tanzania baada ya kugoma kutumbuiza kwenye Show licha ya kulipwa pesa nyingi

Inasemekana Sababu ya kukataa Kuperform ni nguo zake alizozisahau alipotoka....jitihadi za kumletea nguo zingine zilifanyika lakini alizikataa...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad