Kimeumana..Lemutuz Ajibu Tuhuma Kuhusishwa Kwenye Tuhuma za Makonda Kupora Gari Zilizoibuliwa na Gazeti la Raia Mwema


Ameandika @lemutuz_superbrand 

"LE SUPERBRAND! ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! ...Hatimaye nimeamini Maneno ya Hayati Rais Mkapa kuhusu haya magazeti yetu kwamba baadhi yao ni TAKATAKA......I mean Binadam mwenye akili timamu UNANUNUAJE GAZETI LA NONESENSE KAMA HILI? ...Unakwenda kubeba hadithi haina kichwa wala miguu na picha ya Magari kama kweli vile wakati UNAJUA KABISA KWAMBA NI HABARI YA KUFIKIRIKA NA UPUMBAVU .....Mtu mwenye uwezo wa kumiliki Range Rover akaenda kutaka kumuibia Dada wa watu SPACIO? ....MTU MWENYE UWEZO WA KUMILIKI RANGE ROVER ANADAIWA HELA ZA KULALA PROTEA WIKI MBILI NA KUKIMBIA BILA KULIPA? ......Waandishi UCHWARA NA MAGAZETI UCHWARA ....MAGAZETI TAKATAKA KABISA ....HAHAHAHAHAHAHAHA........ETI ATAMPA MAYELE ZAWADI YA GARI BADALA YA KUTUAMBIA KAMA ALISHAMPA HIYO ZAWADI MNAHANGAIKA KUWAIBIA WANANCHI KWA KUWAUZIA HABARI ZA TAKATAKA? ....Sikutegemea in mylife time kwamba mtu anaweza kuzuka na ujinga ujinga na WAANDISHI WAPUMBAVU BILA UCHUNGUZI wanaandika Headline ya UPUMBAVU KAMA HUU? ....ndio maana Serikali iliwafungia seriously ni GAZETI LA HOVYO SANA NA NI TAKATAKA .....WEWE MHARIRI WA HILI GAZETI NI MPUMBAVU SANA NA NI MJINGA WA MWISHO HAPA DUNIANI UNAFIKIAJE KUAANDIKA HABARI NZITO KAMA HII BILA FACTS? ...NILITEGEMEA UNGEWEKA COPY YA RB YA HUYO MWEHU KUIBIWA RANGE YAANI UNAIBIWA RANGE ROVER HALAFU UNASUBIRI UIBULIWE NA UTAPELI WAKO NDIO UDAI ULIIBIWA RANGE? HAHAHAHAHAH YAANI NARUDIA TENA MHARIRI WA HILI GAZETI NI TAKATAKA NA MPUMBAVU SANA NA HUNA UWEZO WA KUWA MHARIRI WA GAZETI LOLOTE SERIOUS DUNIANI ISIPOKUWA HILO HILO GAZETI TAKATAKA .....kama umeiruhusu hii habari kuwa kwenye gazeti lako narudia wewe ni MPUMBAVU NAMBA MOJA DUNIANI na niiambie SERIKALI HAYA NDIO MAGAZETI YANAYOTAKIWA KUFUNGIWA YASIWEPO KABISA MAANA YANAVURUGA WANANCHI NA HABARI ZA KUFIKIRIKA KAMA HIZI....alipoandika Upumbavu wake binafsi nilidharau kumjubu maana niliona ni Upumbavu mtupu wote tungeonekana hatuna akili ....ila leo nimesitushwa na hii headline like seriously? Hahahahahahahaha yaani IMENIKERA KWA SABABU NAWAONEA HURUMA WANACHI KULISHWA UPUMBAVU .....HII HABARI NI SIO UONGO TU ILA NI UPUMBAVU HATA KUMUUZIA BINADAM MWENYE AKILI TIMAMU! "- @lemutuz_superbrand

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad