Kizz Daniel ametakiwa kulipa miliono 400 badala ya milioni 500, Harmonize atamlipia zote – Mwijaku



Mtangazaji huyo wa Clouds Media amethibitisha kuwa staa huyo wa muziki kutoka nchini Nigeria yupo nyumbani kwa Harmonize na huenda wakarekodi Buga remix.


Mbali na hilo Mwijaku ameweka wazi kuwa Harmonize ndiye aliyempelekea nguo Kizz Daniel hoteli ila alizikataa na kusema hawezi kuvaa pia cheni alikataa na baadaye Harmonize kumletea designer na kuzikataa nguo zao.


Mbali na hilo Kizz Daniel alitaka GUCCI original nyeusi full na viatu vyeupe, alikataa mpaka cheni za Harmonize ameongeza Mwijaku akizungumza na @el_mando_tz


Ameongeza kuwa Kizz Daniel ametakiwa kulipa milioni 400 na zote Harmonize atamlipia hapa Tanzania maana yeye hawezi kulipa akiwa nje ya nchi yao.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad