Kizz Daniel Hakutokea kwenye Summer Amplified kisa Begi la nguo Halikuja, Alikataa Alizopewa Dar
0Udaku SpecialAugust 08, 2022
August 7, 2022, msanii wa Nigeria Kizz Daniel alikuwa anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la Summer Amplified kwenye arena ya Warehouse jijini Dar es Salaam.