Klabu ya Simba Imethibitisha Kuwa klabu ya Saint George ya Ethiopia Ndio Wageni Wao Simba Day
0Udaku SpecialAugust 05, 2022
Klabu ya Simba imethibitisha kuwa klabu ya Saint George ya Ethiopia ambao ndio Mabingwa wa ligi kuu Nchini humo itakuwa mgeni wake katika mchezo wa Simba Day.