Licha ya Vurugu za Kugombea Jezi Chache Simba Hawajaomba Radhi Mpaka Sasa


Licha ya Vurugu za kugombea jezi chache zilizoletwa na Msambazaji wa Jezi wa Klabu ya Simba Kampuni ya Vunjabei,Klabu ya Simba imeshindwa mpaka sasa kuwaomba radhi mashabiki wake.

Jezi hizo chache zilizuzwa jana kwenye duka moja tu la Vunjabei na kupelekea vurugu kubwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad