Mchekeshaji wa Muda Mrefu Sobogani Zabron Maarufu Erick Kisauti Amefariki Dunia


Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.


@AyoTV_ imezungumza na Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba kwa sada anajiandaa kuelekea Kibaha mahali ulipo.


“Msiba upo Kibaha hapa ndio tunajiandaa kuchomoka kwenda mimi natokea nyumbani kwangu Chanika, nilipata taarifa za karibu kutoka kwa Camera Man Yoso tuliyekuwa nae Kwenye kambi ya vituko show, aliniambia anaumwa TB kuna kipindi akaanza kukaa sawa lakini baadae kansa ya ngozi ikaibuka, leo Alfajiri napigiwa simu naambiwa amefariki Alfajiri, nyumbani”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad