Mgombea Kiti cha Urais Nchini Kenya, RailaOdinga na Matha Karua Wametangaza Kuwa wao Ndio Washindi


Mgombea Kiti cha Urais nchini Kenya, @RailaOdinga na Matha Karua wametangaza kuwa wao ndio washindi katika uchaguzi nchini humo mwaka 2022.

Hata hivyo bado Tume ya Uchaguzi nchini humo haijatangaza mshindi katika uchaguzi huo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad