Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe Afunguka Kuhusu Tukio la Kizz Daniel "Tunafuatilia"

 


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe amesema Ofisi yake inafuatilia tukio lililotokea usiku wa juzi kwa Mwimbaji wa Nigeria 🇳🇬 Kizz Daniel kutotokea kutumbuiza kwenye tamasha lililoandaliwa na Str8up vibes Masaki Dar es salaam.


Mkuu wa Wilaya Godwin Gondwe ameandika yafuatayo “Najua Kinondoni ndio sehemu ya Watu kupata Burudani, hatupendi jambo kama hili kutokea tena, toka limetokea Viongozi wa Kinondoni tunalifuatilia kwa karibu kazi inaendelea”


“Tunafuatilia tujue udhaifu ni wapi ili isitokee tena

katika tasnia ya Burudani eneo la Kinondoni, Watu

wakiahidiwa wapate thamani ya fedha yao waliolipa

katika Burudani, tunalifanyia kazi kwa weledi

mkubwa” 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad