Msanii Foby Adai Kutishiwa na Wenye Nguvu Baada ya Kutangazia Umma Anampenda Zuchu wa WCB


Mwezi Mei mwaka huu, msanii wa Bongo Flava, Foby aliweka wazi kuwa na Hisia na Mrembo tokea usafini, Zuchu. Lakini baada ya siku kadhaa mbele, akawa kimya tena. Kwenye XXL ya Clouds FM, jana August 11, msanii huyo amedai kiukweli alikuwa serious na jambo hilo, ila aliamua kuachana na mitikasi hiyo baada ya kuanza kutishwa na watu flani kuwa aache hicho anacho kifanya na baada ya vitisho kuzidi ikabidi mwamba akunje😀, ye nani kwa mfano ye nani abishane na wenye nguvu😆.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad