Mussa Idd Mussa wa TBC Afariki Dunia




Mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mussa Idd Mussa amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili mkoani Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mwili wa Mussa ambaye alikuwa Mtumishi wa TBC, utaagwa katika  hospitali ya Taifa  Muhimbili saa saba mchana hii leo.

Baadaye leo,  utasafirishwa  kwenda  nyumbani kwao Pangani  mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi Amina.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad