Irene Uwoya; ni staa wa Bongo Movies ambaye naye ameingia kwenye listi ya waathirika wa kusambaa kwa picha na video za utupu (connection).
Sasa; yupo mwamba ambaye anatajwa kwa jina la Alawi Junior ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi wa Uwoya kabla ya kuzinguana.
Inasemaka huyo Mwamba Alikuwa anataka apewe Milioni 20 na Irene Uwoya Ili asivujishe video
Source: Global TV