Mwanamke mmoja, Christina Calello (36), mkazi wa Florida nchini Marekani amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na mbwa.
Taarifa zinaeleza kuwa, mwanaume aliyekuwa mpenzi wake kabla ya kuachana, Geoffrey Springer (39), naye anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumrekodi mwanamke huyo akifanya kitendo hicho.
Inaelezwa kuwa, kwa hiyari yake, mwanamke huyo alikuwa akifanya mapenzi na mbwa kwa takribani miaka nane mfululizo mpaka alipokamatwa na Polisi wa Kituo cha Pinellas.
Kwa sheria za nchi hiyo, ni makosa kwa mtu yeyote kufanya mapenzi na wanyama.