Hafla ya tukio hilo imehudhuriwa na familia, ndugu, pamoja na watu wao wakaribu na ilifanyika mwishoni mwa wikiendi iliyopita.
Godliver ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Mwigizaji bora mwaka 2021, katika video hiyo anaonekana akiwa amepiga magoti, huku akikubali kuvishwa pete ya uchumba, ambapo alikubali huku akitoa machozi ya furaha.