Nandy Afunguka "Nimejisikia Vibaya Kwa Nandy Kupigwa Faini ya Milioni 50 Kwa Ajili Yangu"


Mwanamuziki Nandy  kwa mara ya kwanza amefunguka kujiskia vibaya kwa yeye kuhusika kama sehemu ya chanzo kwa mwanamuziki mwenzake Rayvanny kutajwa kupigwa faini ya Million 50💰 na record label ya WCB Wasafi mara baada kuonekana katika tamasha lake la Nandy Festival Songea.

Kupitia mahojiano yake na clouds media Nandy amedai kuwa alifanya mawasiliano na msanii moja kwa moja na sio record label ya WcB baada ya taarifa za mwanamuziki huyo kujiengua kwenye Rec label hiyo, na alijiskia amani mara baada ya @rayvanny kuweka wazi kuwa yeye ni msanii huru chini ya record label yake ya Next Level Music #NLM.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad