Kuhusu kile kilichozungumzwa kuwa Nandy ana ugomvi na Zuchu ameweka sawa kuwa yeye na Zuchu ni marafiki na huwa wanachati sana kupitia mtandao wa WhatsApp.
Nandy ameongeza kuwa mara ya mwisho kuchati na Nandy ni baada ya Harusi na kwamba Zuchu alimpongeza baada ya kufunga ndoa na @billnass