Pacha Rehema aliyesalia kati ya Mapacha wawili waliotenganishwa July, 1,2022, amefariki dunia


Pacha Rehema aliyesalia kati ya Mapacha wawili waliotenganishwa July, 1,2022, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Rehema amefariki dunia siku 32 baadaye tangu kifo cha Pacha wake 'Neema' kilichotokea July 10,2022, Neema alifariki dunia baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa ICU. 

Kifo cha Rehema kimethibitishwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kwa umma, Muhimbili, Aminiel Aligaesha.
#MillardAyoUPDATES  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad