Chanzo cha karibu ya kimesema walimwagana wiki hii na sababu umbali na ubize baina yao hivyo wameona wapeane nafasi wabaki tu kuwa marafiki wa kawaida
Mrembo huyo aliwahi kukiri kuwa yeye ndie alianza kumshobokea Pete baada ya kusikia fununu kuwa amejaaliwa mashine kubwa na walikuwa na matarajio uhusiononwao huo udumu lakini umeishia kuota mbawa mapemo mno
Pete kwasasa yuko bize kushuti movie mpya nchini Australia wakati Kim yupo bize na mambo mengine ya kikazi na kulea watoto wake wanne aliozaa na Kanye West