IRENE Pancrass Uwoya; ni staa wa Bongo Movies ambaye amekuwa mwathirika mwingine wa kusambaa kwa picha na video zake za ngono.
Baadhi wafuasi wa Uwoya wanaamini kuwa, pamoja na kuwa na pesa nyingi kiasi cha kuzitapanya kwa starehe za kufuru na kuwamwagia watu, lakini zimeshindwa kumnusuru kwenye janga hilo.
Video au koneksheni ya Uwoya imesambaa ikimuonesha akiwa uchi wa mnyama huku akionekana hajielewi kabisa kutokana na kile wengi wanasema ni ulevi.
Inasemekana kwamba video hizo ni za mwaka 2018, kwani mwaka huo Novemba kuna posti aliposti kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa amevaa nguo kama ambazo anaonekana nazo kwenye video hizok. Kabla ya kuvuja kwa koneksheni ya Uwoya, inaonekana mwenyewe alijua kuwa itavuja ndipo akaandika maneno haya;
“Hamna kitu sipendi kama mtu anambie utaona…nitaona nini ambacho sijawahi ona Mungu kaniumba na macho mawili yanaona vizuri sana… wewe nani? Nakwambia ushindwe kwa jina la Yesu… ujumbe umefika na nimekujibu sina jipya la kuona
”Watu wa kada mbalimbali wamekuwa na maoni tofauti huku wengi wakijiuliza kwa nini Uwoya ameshindwa kuizima ishu hiyo wakati ana pesa za kutosha na kila siku anajitangaza kuwa ni tajiri wa kutupwa. Wanajiuliza ameshindwaje kuzuia kuchafuka kiasi hicho ilihali taarifa alikuwa nazo mapema kwamba siku yoyote mzigo utavuja?
Wiki kadhaa zilizopita Uwoya alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kanisa moja mjini Morogoro lililokuwa likiadhimisha miaka minane tangu kuanza kutoa huduma.
Pia Uwoya alikuwa mgeni rasmi wa kuzungumza na kikundi cha kina mama kanisani hapo. Wengi baada ya kuona hivyo waliamini kwamba Uwoya mwisho wa siku ameupokea wokovu na kuacha mambo ya hovyo ila ndiyo tena sasa limempata baya zaidi la kuchafua jina lake kabisa.