Web

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup

Top Post Ad




Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya mpira wa Miguu ya Ndondo Cup kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya Wasafi Bet.

Diamond ametangaza hayo Kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari ambapo ametangaza kuwa kuanzia Leo Wasafi Bet kupitia Bingwa la Mtaa itakuwa sehemu ya wadhamini kwenye mchezo huo.


.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.