Producer s2kizzy Amekana Kuhusika Kwenye Sakata la Kuufuta Wimbo wa Rayvanny na Mondi Youtube



Licha ya Jina lake kutokea (Salimini Kassim) kama ndiye aliyeclaim copyright ya wimbo wa #tetema , producer s2kizzy amekana kuhusika kwenye ishu hiyo na kudai hajui chochote kinacho endelea.


Miezi kadhaa nyuma, Producer huyo alitumia ukurasa wake wa Instagram, sehemu ya Insta Story akiwashukuru Rayvanny na Diamond kwa kumuamini kutengeneza mdundo wa wimbo huo ulioleta impact kubwa sana kwenye carrier yake.


Haijulikani kama kuna makubaliano zaidi ya kile alicho kiandika s2Kizzy kwenye Insta story yake na hakijatekelezwa au lah.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad