Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo


Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House.

Msemaji wa DC Metro Police aliviambia vyombo vya Habari kuwa “watu wengine wawili waliojeruhiwa katika Tukio hilo bado wapo Hospital huku hali zao zikiwa bado mbaya, Majina ya Majeruhi yamehifadhiwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria”.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad