Rais Samia Katika Ufunguzi wa Jengo Huduma za Mama Mbeya "Wanaume Mtashuhudia Wake zenu Wakijifungua"


Rais Samia leo ameweka Jiwe la Msingi la katika Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwenye Kitengo cha Wazazi na Watoto Wachanga Meta.

“Tumetoa pesa kujenga jengo hili kwasababu Mimi kama Mama kazi inayofanywa humu ndani (kujifungua) naifahamu vizuri, ni kazi inayohitaji mazingira mazuri sana, unapomtumikia Mungu kuifanya ile kazi aliyotupangia Wanawake (kujifungua), unahitaji faraja”

“Hospitali hii kwenye vile vyumba vya kujifungulia tumeweka na Mwenza wako atakuwepo humo ndani, kwasababu kazi ya kutengeneza kiumbe mliifanya pamoja akushuhudie siku unayotoa kiumbe kile na aone hali unayokuwa nayo siku ile ili wajenge mapenzi upande wetu, akina Mama oyeee”

“Hospital hii itatoka kulaza wagonjwa 150 hadi zaidi ya 300 kwa Kanda nzima”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad