Rayvanny Kulipishwa Milioni 50 Kisa Kupanda Jukwaani Show ya Nandy Festival


Za chini ya kapeti zimefikishwa Dawatini! Inaelezwa Msanii @rayvanny anatakiwa kulipa kiasi cha Tsh Million 50 kisa kutokea kwenye Jukwaa la #NandyFestival2022 la Msanii @officialnandy lililofanyika Mkoani Songea.

Inaelezwa yamekuja hayo baada ya @rayvanny kufanya show hiyo ikiwa bado hajafikia makubaliano ya kumalizana kikamilifu na record label ambayo ilikuwa ikimsimamia ya WCB Wasafi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad